
Below are some of the jokes, just to create a light moment in the long wait>>
With over 267,944 rejected votes, Kenyans have been wondering how exactly so many votes would go to waste…trust wakenya to create light moments out of situations…
“I hear walifika kwa;
Dida na badala watick wakaandika "LOL"
Kwa PK madame waliandika "OMG so hot!damn!"/wengine walichora love heart na kuandika number zao
Kwa Muite,"macho nazo LOL”
Kwa Kiyiapi "hehehe no comment"
Jiachilie na hizo funny comments in regards to spoilt votes…
Meanwhile, in State House... Kibaki is doing the following
#kurandaranda na clearance form
#kupatia watchie ile battery ya chloride exide.
#kuenda kwa choo kuandika "Emilio was here 2002-2012"»
I'm 10 over 10.
#kuenda kwa bursar kuchukua caution money.
#kurandaranda na clearance form
#kupatia watchie ile battery ya chloride exide.
#kuenda kwa choo kuandika "Emilio was here 2002-2012"»
I'm 10 over 10.
#kuenda kwa bursar kuchukua caution money.
The following is considered as campaigning in a polling station by IEBC
1. Kuchew PK kwa line
2. Kureceive a phone call from United Kingdom (UK)
3. Kusmile na una mapengo kwa meno
4. Kuuza Water Melon kwa line
5. Kusema Vitendawili
6. Kuja na macho ikiwa Nyekundu
7.Kukula machungwa kwa line
8,. Kuitana Mwalimu ukiwa kwa line
9. Kuvuta sigara ya rooster (Jogoo) kwa line
10 . Kusikiza matangazo ya Mpira kwa line
11. Kwenda na gari ikipiga wiper
12. Kuwa undecided kwa queue..
1. Kuchew PK kwa line
2. Kureceive a phone call from United Kingdom (UK)
3. Kusmile na una mapengo kwa meno
4. Kuuza Water Melon kwa line
5. Kusema Vitendawili
6. Kuja na macho ikiwa Nyekundu
7.Kukula machungwa kwa line
8,. Kuitana Mwalimu ukiwa kwa line
9. Kuvuta sigara ya rooster (Jogoo) kwa line
10 . Kusikiza matangazo ya Mpira kwa line
11. Kwenda na gari ikipiga wiper
12. Kuwa undecided kwa queue..
Uhuru finds 34 missed call for Kalonzo...
He texts Kalonzo.."Niaje stephen,
ntakukol baadae gonja ni
download
SKYPE,"
Kalonzo replies "Hihihihii, hapo
sawa, atleast haujadelete number
yangu...